tangazo la tanesco nalo lilikaa kisanii sikumuona dereva waoKama kamuimba huyo boss tu na dreva wake hajamuimba huo utakuwa ni unyanyapaa kama unyanyapaa mwengine tu!
Lea kwanza mrembo😂Nmmh!!
Kwakweli 🤣😂Lea kwanza mrembo😂
Muha mwenzieHuyu mpumbavu Nyamhanga siye ndiye kuna mada inazunguka humu jukwaani gari iliyomuua ni moja wapo wa ganji alizopewa na wachina ili apitishe zabuni mbalimbali za tanesco kwa kampuni yao.
Then anapokufa mtu kama huyo sisi kama taifa tunasikitika nini huo msiba waachwe wasikitike aliokuwa anawalisha wasitushirikishe.