W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,229 Reaction score 4,835 Jun 11, 2023 #1 Huyu mwamba namuona sana kwenye mapambano mpaka ya nje ya nchi lakini sioni hata waandishi wa habari wakiongelea habari zake nini tatizo, kama Kuna anayemjua zaidi atuwekee hapa!
Huyu mwamba namuona sana kwenye mapambano mpaka ya nje ya nchi lakini sioni hata waandishi wa habari wakiongelea habari zake nini tatizo, kama Kuna anayemjua zaidi atuwekee hapa!
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,350 Reaction score 3,634 Jun 11, 2023 #2 Mada maugo bado yuko kwenye ndondi....!!!
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,859 Reaction score 106,767 Jun 11, 2023 #3 Maugo kaishajichokea, we toka enzi za kina mashali huko.. Nyingine njaa tu.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,509 Reaction score 5,964 Jun 11, 2023 #4 Mada Maugo Ni wa kitambo.