"Kindo kisha lya na mwanamau" hii ndo siri inayowaunganisha wachaga

Wachaga ni wamoja wanafanana
Majina
Aina ya chakula
Pombe
Mila na desturi
Maumbile
Nk
Nb wanapishana kidogo Sana Sana ila wanasikikizana Kwa 98%
Mimi ni kibosho ila kwa babu zangu wakubwa ni machame hata mbuzi ikichinjwa lazima ivuke mto, iv vitu sisi wenyewe tu ndio tunaelewa
 
Wachaga ni wamoja wanafanana
Majina
Aina ya chakula
Pombe
Mila na desturi
Maumbile
Nk
Nb wanapishana kidogo Sana Sana ila wanasikikizana Kwa 98%
Eti wanafanana kwa majina, kuna nkya kibosho au kuna masawe machame? acha umbusi basi mkuu, eti manafanana 98% kawadanganye wandengereko, wenyewe mnabaguana kwa maeneo mnakotoka, halafu unasema et ni wamoja.
 
Eeeeeh masawe upo kila mahali uchagani,nkya ni jamii ya watu walio tokea ukoo wa mboro , ukoo huu wa mboro ulizalisha wengi sana ,kama nkya , muro, mboya, maleko na n.k
 
Eti wanafanana kwa majina, kuna nkya kibosho au kuna masawe machame? acha umbusi basi mkuu, eti manafanana 98% kawadanganye wandengereko, wenyewe mnabaguana kwa maeneo mnakotoka, halafu unasema et ni wamoja.
Masawe IPO rombo,machame,kibosho,uru nk .
Narudia wachaga ni wamoja wanafanana by 99% hutaki basi!!
Mbege IPO Kwa wote,mtori, kiburu IPO Kwa wote,ujenzi wa msonge ilikuwa Kwa wote, physical appearance IPO Kwa woooote ( imevurugwa na intermarriage)
Huo ndio ukweli ,wanapishana lugha ( lahaja) kulingana na location ila hawasemani!!
 
Wachaga wana msemo wao wa "kindo kicha lya na mwanama/ kindo kisha lya na mwanamau.... Yaani kizuri kula na ndugu yako..... Hii kauli mbiu ndo inawafanya wanabebana sana kukumbukana katika kila fursa

Laiti kila jamii ingekua na huu moyo wa kukumbukana,kubebana,kushikana mikono katika maendeleo tz ingekua mbali sana

Tatizo la jamii nyingi za kitanzania ni ubinafsi,umimi na roho ya kwanini ndizo zinachangia hawafanikii kuna la kujifunza kutoka kwa Wachaga
Ni kweli
 
Masawe IPO rombo,machame,kibosho,uru nk .
Narudia wachaga ni wamoja wanafanana by 99% hutaki basi!!
Mbege IPO Kwa wote,mtori, kiburu IPO Kwa wote,ujenzi wa msonge ilikuwa Kwa wote, physical appearance IPO Kwa woooote ( imevurugwa na intermarriage)
Huo ndio ukweli ,wanapishana lugha ( lahaja) kulingana na location ila hawasemani!!
sawa mchaga wa kuchovya, nyie ndo mnapika mataputapu ha tegeta mnaita mbege.
 
Back
Top Bottom