Kinapofika kipindi cha Hedhi kwanini matatizo haya?

Dachr

Senior Member
Aug 25, 2011
110
8
JF Doctor,inapofika kipindi cha kuingi katika kipindi cha hedhi huninyima raha kabisa kwani hupatwa na maumivu ktk sehemu ya haja Kubwa(Anus)na pia vivimbe,maumivu makali,misuli kuvuta sehemu za kiuno/nyonga.Msaada wenu Doctors.
 
usiogopoe ndugu.
hii ni kawaida kwa baadhi ya wanawake. mimi nakumbuka kigoli wangu alikuwa akitumia diclopa kutuliza maumivu na hata madaktari walimwambia kwamba hali hiyo itatulia baada ya kujifungua ingawa baada ya miaka mi 3 toka akiwa 21 imetulia na hajajifungua bado. so, cha kufanya jitambue siku zako na ujue jinsi ya kukabiliana nazi either kwa dawa au any means. consult your local doctor


JF Doctor,inapofika kipindi cha kuingi katika kipindi cha hedhi huninyima raha kabisa kwani hupatwa na maumivu ktk sehemu ya haja Kubwa(Anus)na pia vivimbe,maumivu makali,misuli kuvuta sehemu za kiuno/nyonga.Msaada wenu Doctors.
 
Hiyo kitu huwa inawatesa sana dada zetu. Hasa umri unavyozidi kuongezeka. Kuna ambao hata dawa za maumivu haziwasaidii tena. Madaktari wengi wanasema inaisha baada ya kujifungua tu mtoto wa kwanza. Ndio maana wadada wengi wakizidiwa wanajilengesha kwa washkaji zao au wanawakomalia wawaoe hata kama mambo hayajakaa vizuri bado ilimradi tu waondokane na hilo balaa!
 
Huwa inatibika kwa dawa za miti shamba. ANGALIZO: ni waganga wachache sana wenye hizo dawa. Kuna mdada mmoja alkuwa anasumbuliwa sana na hilo tatizo, aliambiwa abebe ujaizito lakini hakuwa tayari. Alielekezwa kwa waganga wengi na kutumia dawa aina nyingi; ambazo hazikuwa na ufanisi. Kisha alielekezwa kwa mganga aliyeweza kuondoa hilo tatizo. Kama nikimwona huyo dada nitamwomba anipe mawasiliano ya huyo mganga. USIOGOPE UTAPONA.
 
Ok! I have a testimony from some one who used some products and she got cured of the problem after 3 months.she was also being told to have a child bt she was to young to have a child and her mother struggled until she got the products for her daughter.the cost is around 350,000 tshs in 3 months,if you would also want to try call 0715720276.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…