Kinana asafishika na tuhuma za uongo

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,974
Gazeti la Citizen lemeweka wazi ukweli kuhusu tuhuma ya Meno ya Tembao aliyohusishwa nayo Ndugu Kinana, na Kambi ya Chadema. Hilo gazeti limesafisha kidhati na kuweka all relevant facts and proofs, ambazo zimeonyesha kuwa tuhuma za chama kikuu cha upinzani zilikuwa ni propaganda za uongo na za character assassination.

Kama tulivyo ona hivi leo huko Mahakamani Tuhuma za Ugaidi kwa Lwakatare zikifutwa na wengi humu tukasheherekea na kuamini kuwa haki imetendeka, Basi ni wajibu pia kufurahia ukweli ulioletwa na gazeti la THE CITIZEN, ambalo lina stahili sifa na kwa utafiti wao wenye busara. Habari kamili inafuatiya hapa chini::

 
Asafishiki aje arusha awazuie waliokuwa wanambebea hizo pembe wasiendele kusema.
 
Mnuko nimnuko tu,tunahitaji uchunguzi huru,unao wahusisha watu wasio fungamana naupande wowote,habari ndio hiyoo!
 
Mfananisho wa ajabu wa Lwakatare na Kinana!
Kwani, The Citizen ni Mahakama siku hizi?
 
2009 hadi leo ndo the citizen wagundue ni mkongo?
Na tangu ishu ya kinana iwe sebuleni ndo leo wanakuja kudai ni mkongo?
Wamehaha wakaona waje na hadithi ya mkongomani!
Once jangili, always jangili
 
Nakumbuka ule usemi wa Nyerere kwamba ukiwa Kiongozi ukichafuka hata kidogo tu, ni vyema kujiudhulu
 
Mnuko nimnuko tu,tunahitaji uchunguzi huru,unao wahusisha watu wasio fungamana naupande wowote,habari ndio hiyoo!
 
Sijawahi kuona mtu akisafishwa akiwa ndani ya shimo la mavi.
 
citizen lina credibility ipi ya kumsafisha kinana, kinana ni jangili, anaweza kujiuzulu kwa uhalifu anaowatendea tembo wa tanzania.
 
kila kitu yanapinga mpaka siku ya mwisho wa uchaguzi mungu anavyoyaeleleza yanajipinga yenyewe. ccm...yeee :first:
 
unafananisha hekaya za mwandishi na mahakama?
 
Alipoulizwa mwanzoni mwenyewe Kinana, mwivi wa tembo alikiri kwamba kampuni yake ilisafirisha wakiwa kama Wakala. Leo anataka kutubadilishia story anadhani tupo too cheap kiasi hicho! Hasafishiki!
 
Nhnnn...kumbe gazeti lililmtafuta kwa mahojiano? gazeti hili nalo lipo kundi moja na magazeti ya uhuru?
 
Ni ujuha uliopitiliza. Shipping agent hujui nini kinasafirishwa? Ingekuwa enzi za Sokoine hiyo kampuni ingekuwa juu ya mawe.
 
Jamani naomba mnisaidie? Je lile contena lililokamatwa hongkong na jamaa akathibitisha kuwa lilisafirishwa kwa kampuni yake ya usafirishaji ilikuwa ni mwaka gani? Je hiyo ya 2009 ilikuwa ni ipi?
 
Hiyo taarifa ya gazeti la citizen haiwezi kusafisha uchafu huo hata siku moja, Kinana angekuwa anajitambua sasa hivi angekuwa tayari amejuhudhuru angalau ningemwelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…