Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
Weka picha mkuu vinginevyo mmbea.Kwa taarifa nilizo pata hivi punde ni kwamba kinana ana pata wakati mgumu mkoani mtwara mikutano yake imedoda na imesusiwa na wananchi.
Itakumbukwa katikati ya mwaka jana wananchi wa Mtwara walikumbwa na balaa la kuchezea kichapo kutoka kwa serikali ya CCM kupitia kwa jeshi la wananchi na jeshi la polisi kufuatiwa na harakati zao za kutaka gesi inufaishe wazawa.
Kwa taarifa nilizo pata hivi punde ni kwamba kinana ana pata wakati mgumu mkoani mtwara mikutano yake imedoda na imesusiwa na wananchi.
Itakumbukwa katikati ya mwaka jana wananchi wa Mtwara walikumbwa na balaa la kuchezea kichapo kutoka kwa serikali ya CCM kupitia kwa jeshi la wananchi na jeshi la polisi kufuatiwa na harakati zao za kutaka gesi inufaishe wazawa.
Chiungutwa. Ha ha ha ha ha ha........Kama kawaida mwendo mdundo. Wasipokuja mkutanoni wa Masasi tutawaleta wa Tunduru
View attachment 206598
Kama kawaida mwendo mdundo. Wasipokuja mkutanoni wa Masasi tutawaleta wa Tunduru
View attachment 206598
Na yeye kujiamini kumemzidi. Ie mentality ya ujinga wa watanzania inamdanganya. Arudie tena baadhi ya mikoa alikokwisha pita aone kama hajapigwa mawe.