<br />ame reform bana!
Kumbe ni special kwa akina mama....napita tu jamani naelekea Mpwapwa
Unajuaje kama hayuko humu lol!!!!Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.
Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha
Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP
Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
za siku shemeji? long time sijakutia machoni! sawa nitamshtua kuhusu JF ,i hope atakuwa na access ya internet.Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.
Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha
Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP
Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
Sijui hii signature yako ina mfaa huyo mdadaWewe mmmhhhhh!!!! Mara hii acha uongo hapa alah
Unajuaje kama hayuko humu lol!!!!
<br />Kumbe ni special kwa akina mama....napita tu jamani naelekea Mpwapwa
Sijui hii signature yako ina mfaa huyo mdada
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!!
kunani tena?