gwabata
Member
- Feb 21, 2016
- 32
- 22
Haya Sasa Naona lile wazo la Naibu waziri aliepiga marufuku kuingia na simu zenye kamera wodini amesahamu kuwaandaa kinamama kupekuliwa mikoba yao pindi waingiapo na kutoka..!
Kasahau kutangaza ajira kwa watu watakaowapekua watu wanaoingia na kutoka, tukae chonjo wenyevyeti kugombania nafasi hizo..!
We shangaa tu
Kasahau kutangaza ajira kwa watu watakaowapekua watu wanaoingia na kutoka, tukae chonjo wenyevyeti kugombania nafasi hizo..!
We shangaa tu