Moses Ngelime
Member
- Sep 5, 2018
- 29
- 19
TCU walishatoa muongozk mbona , waliwataka watu wenye tatizo la confirmation wawasiliane na vyuo husika vyuo vitawaconfirm.Mi nitoe tu ushauri kwa TCU,
Kwa wale wa multiple ambao mpaka leo hawajapata codes au walipata lakini zikagoma kuconfirm basi wapewe nafasi ya kwenda chuo wakipendacho pindi mchakato wa udahili utakapofika mwisho na vyuo kuanza kusajili wanafunzi waliowadahili
Meek boy walikwambiaje wwtumewasilian ila hamn chochte
Chuo gan mkuu?tumewasilian ila hamn chochte
mi nataka kwenda udom ila nawasiliana nao lakini hamna chochoteChuo gan mkuu?
Maana namshukuru Mungu mimi niliwasiliana na chuo ninachotaka kwenda wamenisaidia, jina wameliweka kwenye list
mi wananiambia nisubir vipi wewe umepataMeek boy walikwambiaje ww
Mkuu hicho chuo nimewailiana nacho lakini bado nacho kinaniambia taarifa wamepeleka TCU wanipe TCU code sasa kizungumkuti tuu. e-government bado kabisa. usanii mtupuTCU walishatoa muongozk mbona , waliwataka watu wenye tatizo la confirmation wawasiliane na vyuo husika vyuo vitawaconfirm.