jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
hahaaaaaaaaaaaaa acha kulalamika.........
women have needs and men have responsibities
Ukisikia siku za stress kwa wanaume mjini ni wiki end inapofika aisee kina dada utasikia nataka kwenda saloon,ooh nirushie vocha,mara lunch,ikija bill anatambua macho kama kiboko au mamba.Halafu unamlainisha kwa kumwita honey,dear,baby.kwendaaaaa.
Dogo huwa unafanya w/end tu hii makitu?
Huwezi acha...!
Wenzio wanaona fahari kuwahudumia wanawake wanao wapenda..!
Kama vipi ingia tuu ubia na kiwanda cha sabuni, hiyo ndio itakuwa salama yako..! Lol
Si wengine hatutokagi hizo wikiend zenu!!!kula bata tumia mapene yakuzoeeee
kesho nitakupitia aisee twende tukapunge upepo, najua unapenda sana yale mambo yaleee
Ukisikia siku za stress kwa wanaume mjini ni wiki end inapofika aisee kina dada utasikia nataka kwenda saloon,ooh nirushie vocha,mara lunch,ikija bill anatambua macho kama kiboko au mamba.Halafu unamlainisha kwa kumwita honey,dear,baby.kwendaaaaa.
kweeeenda wewe usiyejielewa ... si umwache tu,... mapaja meusi yamekushinda rudi bongo
wachina kariakoo hawajafukuzwa, akanunue tuu
Siye tunalipa bill kwa bed bhana,we ni vipi aysee. Ukiambiwa upige push up mwenyewe unaishia tano, ukiwa juu ya kifua cha baby wapiga infinite push up (We call it Push up with motivation). So weh lipa tu ni halali yako.