high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,939
- 2,178
wengi sana tembea uoneHuo mchicha au?naona huyo mwanaume wa hivyo hajazaliwa bado!!
nishatembea nimechoka nimeamua nikae nitulie :smile-big:wengi sana tembea uone
Hakuna Mwanaume Mkarimu tu burebure..Mwanaume mpole kama njiwa..Mwanaume very caring tu from nowhere..Mwanaume anayekusikiliza...Mwanaume anayekutafuta asubuhi hadi jioni kujua hali yako..Mwanaume anayehakikisha unasmile muda wote..Mwanaume anayejali na kukubembeleza ule chakula...Mwanaume anayejua hadi rangi ya chupi unazopenda,loh mashallah...Usicheze na Mwanaume anayewinda Kipochi manyoya kwa ustadi wa kunguru aliyeona kifaranga kinacheza peke yake....Yuko radhi afanye lolote kwa gharama yoyote ilimradi aweze kuchungulia hazina yako ya Taifa..
Muite hata saa 8 usiku mwambie ''Baby nna hamu ya Burger ya Vitunguu Swaumu'',wala hatalalamika,ataifuata hata Chalinze na atakuletea Bunju B..Sasa fanya kosa tu upanue kidooogo tuuu na kumpa tuzo za Grammy's kama Mwanaume bora wa mwaka uone shughuli..Utashangaa yule Mwanaume uliyeamini ni romantic amefariki lini..Hakuna rangi utaacha ona..Burger na Shopping zote zitafia pale Bandari ya Chumbe,Visiwa vya Pemba.
Ni heri ukosee Kutuma Salio la MPESA kwa mtu kuliko kuamini kuna Mwanaume aliye Too Sweet kwako wewe bila Sababu...
It depends. . .
Kama nia yake ni kuonja tu lazima aache kujifanyisha akishapata ladha na kutosheka. Lakini kama alikuja kwa nia ya kujenga kambi na mwanamke akampokea vizuri atafanya na zaidi japo mapungufu ya kawaida hayakosekani.
It depends. . .
Kama nia yake ni kuonja tu lazima aache kujifanyisha akishapata ladha na kutosheka. Lakini kama alikuja kwa nia ya kujenga kambi na mwanamke akampokea vizuri atafanya na zaidi japo mapungufu ya kawaida hayakosekani.
Kwani hata wakiamshwa wansikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....mbona unataka kutupeperushia?usiwaamshe walio lala
Kwani hata wakiamshwa wanasikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....mbona unataka kutupeperushia?usiwaamshe walio lala
Kwani hata wakiamshwa wanasikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....
WANASEMA MWALIMUWAO KIPOFU NA KESHAKUFA. HIVYO DARASA LIMEBAKI BILA TICHA....
Usione akina lara 1 na mastori yao ya IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, AU akina Heaven on earth na kupenda wazungu, WOTE WAPO HIVYO HIVYO TU