Kama tume ya uchaguzi bado iko chini ya mwenyekiti wa ccm, na watu wakaendelea kudanganyika kuwa uchaguzi ndio unatoa viongozi, basi ccm itakaa madarakani sana hata ifanye nini. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatupa viongozi sahihi.Tatizo upinzani nao hawako imara chadema ya 2010 au 15 nchi ingekua Yao mapema
Kila mtu anaangalia tumbo lake.....Tatizo upinzani nao hawako imara chadema ya 2010 au 15 nchi ingekua Yao mapema
Naunga mkono hoja. Kwa hali ilivyo katika Nchi hii kwa sasa, inahitajika kikosi au watu maalumu kujitoa SADAKA ya kweli na ya pekee ndipo Nchi hii itaingia kwenye mstari wake.Kama tume ya uchaguzi bado iko chini ya mwenyekiti wa ccm, na watu wakaendelea kudanganyika kuwa uchaguzi ndio unatoa viongozi, basi ccm itakaa madarakani sana hata ifanye nini. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatupa viongozi sahihi.
KABISA HILI LINAPASWA KUFANYIKAKama tume ya uchaguzi bado iko chini ya mwenyekiti wa ccm, na watu wakaendelea kudanganyika kuwa uchaguzi ndio unatoa viongozi, basi ccm itakaa madarakani sana hata ifanye nini. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatupa viongozi sahihi.
Sio rahis kihivyo mkuu ingawa CCM wapo choka mbaya lkn wana mbinu sana ya kuwagawa wapinzaniMwisho wa ccm umefika rasmi
Kiongozi ni mtu, kama ni mbovu lazima na chama kiwe kibovu.Hata Dovutwa anaweza kuongoza vizuri au Hashimu Rungwe, haohao walioko UDP wakawa watendaji wazuri tu.Pamoja na kwamba siikubali wala kuipenda sisiem, lakini pia bado sijaona chama ambacho kipo tayari kuchukua madaraka na kuwatumikia waTanzania
Pamoja na kwamba siikubali wala kuipenda sisiem, lakini pia bado sijaona chama ambacho kipo tayari kuchukua madaraka na kuwatumikia waTanzania
Hivi unawaza nini? kwa tume hii na mfumo uliopo unadhani kuna upinzani watapewa nchi hii ?1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA.
2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA)
3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua hao MAJIZI na MAFISADI(Rejea kesi ya MPINA Vs BASHE na SPIKA)
4. Ugawaji wa RASILIMALI za Taifa kwa wageni.
5. Tozo na kodi za ovyo wanazobebeshwa wananchi kila uchao.
6. Wabunge na watumishi waandamizi wa serikali kujiongezea mishahara na marupurupu bila kujali shida za wananchi.
7. Serikali kushindwa kuboresha huduma za jamii(Elimu, Afya, Nishati na miundombinu mingine)
Hayo ni baadhi tu ya mengi yanayokwenda kuinyonga CCM 2024/2025.
Nimejaribu kufanya research kidogo. Nimegundua kwa sasa Watanzania wengi wanajitambua sana ukilinganisha na miaka iliyopita. Zaidi ya Watanzania 7/10 wamechukizwa sana na mambo niliyoyataja hapo juu.
Huo utafiti uliufanya lini??Wapiga kura wengi ni wanasisiemu, wapinzani wengi hawaendi kupiga kura
DuhTatizo upinzani nao hawako imara chadema ya 2010 au 15 nchi ingekua Yao mapema