Tetesi: Kinachofanya Wabunge wa UKAWA kuranda randa viwanja vya bunge wakati wamesusa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kuna tetesi kuwa Wabunge wa UKAWA pamoja na kususa wamekuwa wakionekana kuranda randa viwanja na maeneo ya bunge.

Wamekuwa wakiranda randa hayo maeneo wakisubiria wabunge Wa CCM wakitoka WAWAOMBE ama wawakope pesa walau wakale.

Mbunge mmoja alisikika akilalama kuwa kachoka kuombwa na kukopwa hela na wabunge wa UKAWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom