Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Habari wadau!
Kwa mtazamo wa akili ya darasa la saba anachokifanya Dr Mwakyembe juu ya TLS ni baraka toka juu kwenye muhimili uliojichinbia zaidi.
Hii inathibitisha kuwa nchi hii sio ya Watanzania bila kujali dini, rangi,kabila,vyama bali ni ubaguzi wa kivyama ukionyesha ni haki na usawa ukiwa ccm na ukitokea sehem flan za tanzania.
Mbali na hiyo inaonyesha jinsi gani ccm hutumia nguvu, gilba, figisu na dola kubakia madarakani na kuonyesha hawana nia nzuri na wananchi hasa maslai yao yanapoingiliwa.
Nguvu wanayotumia kwa sasa kumtaka Lisu asigombee urais wa TLS inadhihitisha kwa kiasi gani serikali haitaki kukosolewa au kufuata misingi ya kisheria na haitaki kukosolewa.
Kwa mazingira haya ni wazi mwenye masikio na akili asikie na ajue adui wa maendeleo ni nani.