Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Sasa wanaendesha kipindi cha malumbano ya hoja, ninachoona sio malumbano, bali ufafanuzi wa uchaguzi wa Zanzibar kuahirishwa na uhalali wake kikatiba na kisheria.
Nimejiuliza kwanini hakuna mtu mwingine wa kufafanua tofauti na muongeaji ambaye anamtazamo moja tuuu.
ITV hapo naona kama mna hasira, amsaidi jamii mnaumiza jamii zaidi, Amani ni muhimu zaidi acheni wazanzibar waamue hatima yao.
Usiku mwema.

Mengi ni mmoja wa watakaopelekwa The Heague endapo Zanzibar itachafuka, pamoja na yule Spencer Lameck.

Kwanini mwana sheria wa nec kaingia mitini na alikuwa ahudhurie kipindi!???au amekwepa aibu maana angeumbukaSasa wanaendesha kipindi cha malumbano ya hoja, ninachoona sio malumbano, bali ufafanuzi wa uchaguzi wa Zanzibar kuahirishwa na uhalali wake kikatiba na kisheria.
Nimejiuliza kwanini hakuna mtu mwingine wa kufafanua tofauti na muongeaji ambaye anamtazamo moja tuuu.
ITV hapo naona kama mna hasira, amsaidi jamii mnaumiza jamii zaidi, Amani ni muhimu zaidi acheni wazanzibar waamue hatima yao.
Usiku mwema.
ITV level zao ni za Aljazeera, hakuna vyombo vya habari Afrika unaweza kulinganisha na ITV, ITV shindanisha na media za Ulaya tu. Pimbi wewe!