Kinachoendelea BUNGENI sasa ni dhulma na kiini macho!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa namna hii kuwanasua wahalifu?

Taarifa zote zimeonyesha madudu yamefanyika,hata hao wanaoitete serikali wansjichanganya na kukosa hoja za msingi juu ya utetezi wao.
TRA chombo cha uma kimeyaona mdudu na kuwajibika/kuwajibishana.

CAG kaonyesha yake. PCCB nao pia. Sasa hizi kanuni za kutolea uutetezi na sasa uchunguzi tena ikajifanyie serikali ilhali watajwa wapo ofisini ,kweli tuko sawa? Hata hiyo PAC nayo inaridhia kubadili msimamo maadhimio yake !

Wajuzi zaidi tuwekane sawa katika hili. La tuitake serikali iifute TRA,PCCB CAG. Maana hazifafanyi kazi.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom