Inauma sana kwamba oparesheni hii imegeuzwa biashara kwa wanaoisimamia. Kuna member humu juzi kasema alipokuwa anasafiri toka Kigoma alipona baada ya kuombwa kitambulisho na kukuta jina lake kwenye leseni ya udereva ni la asili ya nyanda za juu kusini (Kina Mwa...). Angekutwa na jina la kiha au kihangaza yangemkuta makubwa.
Hata mzee Samuel Sitta ameeleza hofu yake juu ya uendeshwaji wa zoezi zima na mwisho kauliza, serikali ilikuwa wapi miaka yote hao wahamiaji haramu wakiwa humu nchini? Why today!
Mkuu Intelligence ya Tanzania hafanyi kazi ya kubahatisha, mbona huko kuna Wanyarwanda wengi tu wakazi wa kudumu - kwa nini wamkomalie huyo tu, kuna kitu pale si bure. Tusijaribu kuhoji vitu ambavyo hatuvielewi vizuri, tuachie dora ifanye kazi yake.wamemupa kesi ya kufaziri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu
Mkuu kuwa mkweli - wewe ni Mtanzania kweli?Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
Chuma ya LIGANGA peke yake inatosha kusababisha mafuriko ya mzigo hapo bandari ya bagamoyo.
Hujaweke bado kitu ya zambia na Congo.
ww tushakujua ni mnyarandwa na unawatetea sana hao wahamiaji haramu nazni utakua umetumwa na kimbaombao wenu uangalie nini watz wanasema kafie mbali.......harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.
pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.
hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masoga
wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.
ukweli lazima usemwe
Pole, hayo maelezo ya kumtetea huyo mzee wako tu yapo hivyo je ukiambiwa uimbe wimbo wa taifa la Tanzania utaweza? Si kitu, hapo unaweza kuwaona jamaa wa UNHCR au kama wapo humu ndani subiri huruma zao vinginevyo utaumizwa zaidi kimawazo.Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
hivi na wewe mwenzetu?harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.
pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.
hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masogange.
wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.
ukweli lazima usemwe
[h=2]Kinacho endelea Musako wa wahamiaji haramu[/h]
Hii TUNGO yako haiwezi kuwa ni ya MTANZANIA aliyesoma chekechea au primary Tanzania.
Mkuu Rushasha uwezekano wa a substantia No. ya Watutsi kuwa-support M23 unafikia asili mia mia regardless ya nchi wanazo ishi - wako well orgised - tumeishi nao tunajua mentality zao zilivyo, labda niongezee hapa kwamba sio kwamba Watutsi wote wako hivyo au wanakubaliani na Modus Operandi ya PK na ndoto zao ya ajabu. Hapa mwandishi anajitia kumtetea mzee huyo kwamba ajui kuandika wala kusoma as if ajui kuzungumza Kinyarwanda!! Sina shaka watu wa usalama hawawezi kumtia kashi kashi mzee huyo bila ya kuwa na taarifa za kintelijesia za kuaminika, wana usalama wanajua walifanyalo kwa hiyo sisi kama raia hatupashwi kuwaingilia katika utekelezaji wa kazi zao; kuna uwekano mkubwa wa watu wasio tutakia mema kumtumia mzee huyo kama cover ya ku-infiltrate special forces zao na ku-create sleeper cells inside ourland na si ajabu mleta malalamiko ni handler wake huko Rwanda/Kigali - ndio mambo ya ujasusi yalivyo!! - Tusichukulie omba omba, wanaojifanya vichaa, wahuza kahawa, ndizi, miogo na samaki huko mipakani, Mwanza, Bukoba na huko Dar hasa hasa ma clearing agents kwamba wote ni harmless - chunga sana.Kuna uwezekano mkubwa huyo mhanga ni supporter wa m23. majority, if not all tutsis regardless wanaishi nchi gani they support m23...wengine wapo huku Dar. Wote waliokuwa wanawa support RPF miaka ya 90 kuna uwezekano mkubwa wanawa support m23 pia
Mbona rais alishasema kuwa anaetaka kushi TZ awe na vibali sasa yeye kilichomshinda ni nini hasaKumekuwepo na ukiukwaji wa maagizo ya rais ktk zoezi hili, kwa sasa imegeuka biashara.Mfano mzuri ni Biharamulo, watanzania wenye asili ya kinyarwanda wamekamatwa na kubambikiwa kesi, MF. Mzee Budugu, huyu hajui kusoma wala kuandika hata kujaza voucher ya simu hajui.
Walienda kumpekua kwake kama anahifadhi wanyarwanda wenzie hawakukuta mtu zaidi ya watoto wake na mkamwana wake wakamwambia twende ukaandikishe maelezo kuwa hatujakuta mtu kwako na alipofika polisi wakamuweka ndani.
Wamembakizia kesi ya kufadhiri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu.
Mkuu kuwa mkweli - wewe ni Mtanzania kweli?
ww tushakujua ni mnyarandwa na unawatetea sana hao wahamiaji haramu nazni utakua umetumwa na kimbaombao wenu uangalie nini watz wanasema kafie mbali.......