cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
Kichaa si lazima avue nguo Jamani.Hata anachoandika tu utagundua ni kichaa.
anafikir kwa kutumia mku...nd¤!
Kichaa si lazima avue nguo Jamani.Hata anachoandika tu utagundua ni kichaa.
leo tarehe 4 bado siku tatu ya nne mtainama wenyewe...
LEMA tulishamueleza aina ya siasa zake hawezi kudumu mchezoni. akabisha, ona sasa anadharaulika mpaka na wavuta bangi.
kumtumikia shetani ni aibu kwa kijana kama huyu mleta mada! jamani hizi buk 7!!!?????
Sombetini inawapa wehu Makamanda, jiandaeni kisaikolojia.
wewe unayewatumikia wazinzi na wezi nani shetani?
Unamcheka mwenzio aina ya siasa anadharaulika mbona we hukufikiria aina ya ID yako maana na we unadharaulika humu JF utajiitaje msalani?????
Duuuuuhh!!!!!!!!!Magamba mnaweweseka. Tulieni mnyolewe.
Jikite madani, ID yangu inakuhusu nini?
leo tarehe 4 bado siku tatu ya nne mtainama wenyewe...
Kwa hiyo Lema ndo mgombea Sombetini, au?
Sioni haja ya kuchangia mada imeanzishwa Msalani?
Propaganda zina namna yake ya kufanya !
Wenzako huwa wanajaribu kueleza kitu ambacho kina uhalisia, halafu ndio wanaweka na propaganda zao ndani ili kuweza kupata wafuasi, Wewe ndugu unafanya kinyume....
Nakupa pole !
July 2013, ilikuwa 4-0, subirini 1-0.....
Sio mgombea lakini cha kushangaza ana kiherehere kuliko mgombea mwenyewe, hata wakati wa kumnadi bananga, LEMA anatumia lisaa limoja na Bananga anapewa dakika kumi.
Ndugu wana jf kulikuwepo na kauli za hapa na pale kuwa Arusha ni ngome ya Chadema jambo hili halikuwa na ubishi hata kidogo ulikuwa ukivaa nguo ya ccm Arusha unazomewa na kupigiwa miluzi kama mbwa
Hii ilitokana na vijana kuwa naimani kubwa sana na Mbunge Lema kila siku zilivyozidi kwenda watu wamekuwa wakimwona Mbunge ni msanii na kimsababisha kupoteza umaarufu wake ilikuwa hapa mjini Lema akisimama mahali pana jaa leo akisimama sidhani kama hata salamu anapata
Mchakato wa sombetini umemdhalilisha sana Lema baada ya mkutano wa ufunguzi ambao waliwakusanya watu toka Arusha na meru baada ya ufunguzi Chadema imekuwa ikifanya mikutano yake ambayo imekosa mvuto kabisa haswa Mbunge watu wamekosa hamu ya kimsikiliza maana hana jambo lolote kichwani kwake la kimaendeleo
Lema jitaidi kama utaweza kurudisha imani na imaarufu uliyo upoteza hapa mjini kama ccm kampeni sombetini wamewachia vijana wanakuhenyesha hivyo mpaka umeamua kuitisha maandamano lazima ujihoji tena kama unasifa za kuendelea kuwa wepo chuga