anachotaka eti wakati wa mambo yetu utumie akili nyingi kama unaigiza filamu za 007
Hahahahaaaa... Uko sahihi kamanda. Nilifikiri angeponda na kuleta solusheni hapo hapo.. anaponda na kuingia mitini,,sasa sisi malena tufanyeje jamani? Mnatuonea tu
Hahahahaaaa Shem maarifa hayana mwisho best yangu!!!! huenda kuna ugunduzi mpya.
oooh mamaafacebook amini tu mamaa!!! Si unajua mbwa mzee naye ananasa mbinu mpya japo kwa kasi kidogo... najifunza tu kwa faida ya wajukuu wangu mi muda umeshanitupa mkono. Mr Rocky na BAK msipite hapa pls
jibu swali ati wewe ni lena au sio lena tutafte kibandiko
Hahahahaaaa... Uko sahihi kamanda. Nilifikiri angeponda na kuleta solusheni hapo hapo.. anaponda na kuingia mitini,,sasa sisi malena tufanyeje jamani? Mnatuonea tu
Hahahahaaaa Shem maarifa hayana mwisho best yangu!!!! huenda kuna ugunduzi mpya.
oooh mamaafacebook amini tu mamaa!!! Si unajua mbwa mzee naye ananasa mbinu mpya japo kwa kasi kidogo... najifunza tu kwa faida ya wajukuu wangu mi muda umeshanitupa mkono. Mr Rocky na BAK msipite hapa pls
Wanawake wasasa hiv bana mkwaju umepata full signal bar zote zimesimama dede mnataka kucheza cheza sijui love bite mademu wenyewe mikorogo love bite s utaondoka na ngozi
aahhaha si kweli hayaoooh mamaafacebook amini tu mamaa!!! Si unajua mbwa mzee naye ananasa mbinu mpya japo kwa kasi kidogo... najifunza tu kwa faida ya wajukuu wangu mi muda umeshanitupa mkono. Mr Rocky na BAK msipite hapa pls
''me no study......me no care.....me go marry a millionaire....if he die...me no cry.....me go marry .....another guy.....''aahhaha si kweli haya
''me no study......me no care.....me go marry a millionaire....if he die...me no cry.....me go marry .....another guy.....''
Lol!!!! Hahahahahaha nimesikia nimetajwa ila sijasoma chochote ulichoandika hivyo wala usitie hofu 🙂
Na ww unaimba kama mimi