Kina kaka/Baba hebu tupite hapa!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Hii sijaipenda kuna baadhi ya wanawake wame suggest kwamba kuna wanaume wanahitaji kuvaa badge ya lena(Learners) kwenye zipu kwa sababu hawajui mapenzi na hawataki waambiwe hawajui wala hawako tayari wafundishwe kwa sababu wanajiona wanajua kumbe hawajui.

1.Kissing hujui.

2.Touching hujui.

3.Hujui kuweka lovebite.

4.Hujui kukuna kitovu.

5.Hujui 'kunawa bwawani' unazamisha tu kama unaranda Mbao.

6.Hujui A Spot ni nini wala G ilipo.

Na ukipewa midundo yako haieleweki,unaanza kama Hip Hop mara unachanganyia RnB halafu ghafla kitorondo kabla mdada hajaelewa unachofanya ushamaliza. Halafu unatutambulisha,"shemeji yenu huyu anaitwa Sarah"shemeji yetu au mke wetu.

My fellow men go and learn . Na ukiambiwa bado lena usinune, haikusaidii.
 

Ufanyiwa hao yote na hela pia upewe?!
Hela ya gesti na chakula analipa nani?
 
Aiseeeeee tutabandika hizo lebo za lena
 
anachotaka eti wakati wa mambo yetu utumie akili nyingi kama unaigiza filamu za 007

tatizo langu MO11 huyu jamaa kajinasibu ikiwa yeye mwanaume, sasa yeye amejuaje matatizo yetu kama siye yeye analalamika.....
 
Last edited by a moderator:

Labda aina hiyo ya mibaba ni ile inayotozwa mrahaba uliopitiliza kiwango kana kwamba anayefaidi ni yeye pekee. Kwa mijimama kama hiyo dawa yake ni hiyo kupiga pasi kwenda mbele hadi unapohisi thamani ya pesa yako imetumika kihalali...kama kuridhika si alishapanga dau na akapewa!
 
Umeme unit 500
Mchele kg 1800
Sch bus 60000/month kwa mtoto 1
Nauli ya ofisini 40000/month
Maji 40000
Medical 30000
HESLB 120,000
PAYE 192,000
Kishumbusi 12000

Nishafeli somo lako! Acha pepa iliki!
 
tatizo langu MO11 huyu jamaa kajinasibu ikiwa yeye mwanaume, sasa yeye amejuaje matatizo yetu kama siye yeye analalamika.....

kweli hili ni tatizo la kwanza
 
Last edited by a moderator:
Lena ya huku inavaliwa kwa muda gani???????????????? Nijikoki faster.... Na ukishavaa lena si inamaanisha kila ukiendesha lazima pembeni uwe na dereva siooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!! Mkuu nipe mwanga
 
Hahahahaaaa... Uko sahihi kamanda. Nilifikiri angeponda na kuleta solusheni hapo hapo.. anaponda na kuingia mitini,,sasa sisi malena tufanyeje jamani? Mnatuonea tu
Tized huyu ni mwanaume mwenzetu au kundi lakwao,maana anavyotukosoa wanaume utafikiri yeye siye mmoja wapo, ila yeye kajuaje ikiwa sio mkamilifu huyu....
eti nani sijui MAWAZO UJENZI hebu sema vizuri kwanza....
Hahahahaaaa Shem maarifa hayana mwisho best yangu!!!! huenda kuna ugunduzi mpya.
hahaha we huwezi kuwa lena bhana
oooh mamaafacebook amini tu mamaa!!! Si unajua mbwa mzee naye ananasa mbinu mpya japo kwa kasi kidogo... najifunza tu kwa faida ya wajukuu wangu mi muda umeshanitupa mkono. Mr Rocky na BAK msipite hapa pls
japo wameambiwa kina kaka na kina baba wapitie hapa siamini hicho ulichoandika ati kwamba wewe ni mmoja wa malena
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…