Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale waliosoma sana , wastani na kidogo. Trendi inaonesha kuwa kadiri mdada anavyokuwa hajasoma ndivo akili yakeinawekeza kwenye nywele na kinyume chake. Hawa waliosoma na walio kwenye madaraka maofisini au kwenye siasa hawajali sana habari ya nywele mfano kina waziri Kombani, kina Migiro, Prof Misana, Kijo Bisimba,kina Tibaijuka, Bulaya etc. Nilitegeme hawa wenye uwezo wa gharama za saluni wangaliongoza kwa kugharamia nywele na mavazi.
View attachment 226286na huyu waziri wa michezo, twende kilioni kila siku....... utajuaje kama wanatimiza masharti
Kuna mdada mmoja mwalimu yupo CoET mambo ya Telecoms na programming niliwahi kufanya nae kazi fulani, yeye haweki hata mafuta kichwani anazifunga tu zipo kiasili na anaonekana very cute
Mimi binafsi nachukia vitu vya kubandika
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale waliosoma sana, wastani na kidogo.
Trendi inaonesha kuwa kadiri mdada anavyokuwa hajasoma ndivo akili yakeinawekeza kwenye nywele na kinyume chake. Hawa waliosoma na walio kwenye madaraka maofisini au kwenye siasa hawajali sana habari ya nywele.
Mfano, kina waziri Kombani, kina Migiro, Prof Misana, Kijo Bisimba,kina Tibaijuka, Bulaya etc. Nilitegeme hawa wenye uwezo wa gharama za saluni wangaliongoza kwa kugharamia nywele na mavazi.