Salaam,
Kipindi hiki bwana katika mitandao ya kijamii na picha (Instagram) umezuka mtindo wa kina dada kupiga picha kwa mtindo wa 360( unakuta mdada kaweka pozi kadhaa mara kapiga kalio, mara kaonesha kiatu mara kageuka nyuma mara akakiss etc. Halafu inachangywa into one pic). Daah aisee kwa kweli sikuhizi 'swaga'. Ndio habar ya mujini. Basi hua naenjoy tu kuangalia pozi za warembo wakali huko instagram, hakyamama tena bongo hii kuna watoto wakali ambao hata hujawahi kuwaza kuwaona. Hongereni kina dada, ila my fellow gentlemen kweli nasi huu mtindo utatufaa? I bet no gentleman 'd go take a pic of his as.s and do the collage (Its agains gentlemen's code of honor).
Neva mind, am just Blah-Blah 'ing wastin some free time. Mchana mwema jamani!