Na sisi wenyewe tunawakimbilia nchi za jirani siolewi na m'bongo mimiKwanza nianze kwa kucheka[emoji23][emoji23][emoji23] Maana ni issue inayowatoa watu mapovu sana.
Kuna hii hulka imeanza ya baadhi ya watu Maarufu kukimbilia nchi jiran na kuoa mabinti wa huko, ikiwa hapa kwetu tuna mabinti kibao, ilianza kidogo kidogo lakin sasa naskia hata watu wasio maarufu wakihamasishana kwenda kutafta majiko nchi jirani...
Najiuliza sana Dada zetu wa kibongo kwani mnafeli wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe naona nlijichanganya sana kuolewa na mwanaume wa bongo.... Ngekuwa bado km.ningekosa nje bora tu niwe single kuliko kuolewa humu nchiniNa sisi wenyewe tunawakimbilia nchi za jirani siolewi na m'bongo mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona wanatabia fulani hv ya kufanana, kama ushawahi kuwa na mahusiano m'mbongo mkaachana then ukapata mwanaume sio m' bongo hata kama mkiachana hutoka kaa umtamani m'bongo hata kama kuna mapungufu lakini m'bongo too muchMi mwenyewe naona nlijichanganya sana kuolewa na mwanaume wa bongo.... Ngekuwa bado km.ningekosa nje bora tu niwe single kuliko kuolewa humu nchini