Kina dada acheni kashfa jamani.

Acha Tuendelee ku import kutoka
Nje
 
jamani ni mtizamo wake povu la nini,inaonekana yeye ni mgonjwa kwa warefu.
 
Anazungumzia urefu gani??????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Urefu wa juu au wachini pale kati?????
 
Tunawaza vise versa Mimi kwangu short men are very real
 
Kwa upande wangu kama kweli vilee. Koh koh koh.

Ila hawa wafupi wanajiamini sana aisee sijui kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…