Umenena kweli tupu JET SALLI kama ilivyo kawaida yako hapa jf, maana bandiko zako zinanifurahishaga sana. Ila kitu kimoja: Kwa nini pamoja na uelewa wako wote leo umetumia herufi kubwa? Binafsi inanikera.USHABIKI NI JAMBO ZURI SANA KAMA HAKI,UKWELI NA UWAZI VTATAWALA.HATA UKIWA NA FURAHA KAMA UNA MSIBA NI MSIBA TU,UNAWEZA KUCHEKA LKN KIDONDA KILICHOPO MOYONI KITAKUTESA TU,MSHINDI NI MSHINDI TU NA MUNGU NDIYE AONGOZAYE MAMBO YOTE."MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA BWANA ASIPOULINDA MJI WANAOULINDA WANAKESHA BURE"Kama ushindi huu ni wa Magufuli basi taifa litapata neema na kama sio wake tutarajie LAANA DAIMA.MUNGU AFANYE KAZI YAKE KADIRI YA MAPENZI YAKE.
Umenena kweli tupu JET SALLI kama ilivyo kawaida yako hapa jf, maana bandiko zako zinanifurahishaga sana. Ila kitu kimoja: Kwa nini pamoja na uelewa wako wote leo umetumia herufi kubwa? Binafsi inanikera.
Lowasa ndiye aliyeshinda kura kwa kupata kura zaidi ya miiilioni kumi. Kikwte, mkapa na makamba wamepindua nchi!. Hawa ni mahaini.
Mwambieni Tundu lissu akamuapishe Njia panda ya himo
Tutafika mahali pa kutengana hata kwenye huduma. Utasikia huyu ni ccm. Na huyu ni ukawa. Tutatengana. Na hii inasababishwa na dhulma na kejeli mnazoziendekeza. Chuki ya binadamu huwa haiishi hata atakaporidhika. Usishangae ushirikiano ukapotea. Hatuwezi kumwaga damu lakini ubaguzi ni vita mbaya zaidi ya kuuana. Utafika mahali hawakuhudumii na hata kama unanunua hawakuuzii sababu wewe ni wa itikadi fulani. Shangilieni mkidhani mnamkomoa mtu kumbe unachoma nyumba ambayo umo ndani.
Mwambieni Tundu lissu akamuapishe Njia panda ya himo