Walikutana Pipa na mfuniko, watategemea vipi zawadi zilipe madeni ya 179m, chizi peke yake ndio angekuwa na akili kama za kwao.
RIP wanandoa, ila next time waache ujinga, maisha sio rahisi kama walivyodhani.
Mimi mtu akija kuniomba mchango wa harusi naweza hata nikampiga. This is non sense, hivi mtu unafanyaje kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako? So what? Ili uonekane?
Mzee wangu huwa anawauliza..."limetokea ghafla au ulipanga..."huwa anawatoa nduki,anasema ukichangisha kumsaidia mgonjwa,wanakujibu kwani Hana ndugu...?kuchangisha kusaidia ada ya mtoto wa masikini aende shule ...wanasema Ni swala binafsi