Kimkakazi.....zaidiii, Zaidi.....kimkakatiii!

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji sasa anaongea na watanzania kupitia wanamwanza na hiyo hapa ndo slogan yake mpya akisema 'KIMKAKATII' wananchi wanajibu 'ZAIDIIII' akisema 'ZAIDII' wananchi wanamjibu 'KIMKAKATIII'
Natawaelezea maana yake baadae
 
Back
Top Bottom