Kimeta chatua Arusha, mmoja afa azikwa bila ndugu

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Ugonjwa hatari wa kimeta unaoambukiza kutoka kwa wanyama umeua mkazi mmoja wa kata ya Mlangarini, Arumeru bw. Lotha Mrefu baada ya kula nyama ya ng"ombe Kibudu

Mwili huo umezikwa jana kijijini hapo na madaktari waliovalia mavazi maalumu huku ndugu wakizuiwa kushiriki kwenye kaburi la marehwmu huyo

Wwngine waliokuwa mzoga huo wako taabani wamevimba matumbo, uongozi wa hospital ya M. Meru umethibitisha.
 
Back
Top Bottom