Kimenuka: Israel Washambulia Mahandaki ya Hezbollah Kusini Mwa Lebanon

Naona upo mihemuko kama kawaida!
Yahudi wanalia lia sana haikua na haja ya kutangaza eti tumegundua handaki la nne ndo nini sasa ni uwoga wa kijinga sana kwanza watu wanawazalau tu wanawaona ni wajinga .
Wewe upo sehemu ya watu umevamia unafkiri utabaki salama lazima watu wakuandame tu kwa njia yoyote ukiweza jilinde ukishindwa kimbia waachie wenyewe ardhi yao.
Sio kulialia tu kwenye media kila siku kama wapo na michezo ya kuigiza.


Eti unaita vyombo vya habari unaitangazia dunia kua nimegundua handaki la Hezbollah ndo nini sasa ??
 
WAHUNI WAKIHAMAS SIKU IZI HAWATAKI UJINGA
Screenshot_20181217-131313.jpeg
 
Back
Top Bottom