Kimbunga kipya kutokea. Kimepewa jila Savannah

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,085
Reaction score
1,082


Kimbunga kilichoanza kujijenga katikati ya bahari ya India baada ya kimbunga Idai kupita kimepewa jina; kwa sasa kinajulikana kama Savanna cyclone.

Savanna bado hakijaanza kutembea, lakini mzunguko wake ni wa wastani wa kilomita 162 kwa saa, ambazo pepo zake zimezuia mawingu yaliyokuwa yalete mvua za masika kwa ukanda wa nchi za Afrika ya Mashariki, sasa mvua hizo zimesukumwa kuingia nchini Afrika Kusini.

Kimbunga Savanna bado hakijajulikana kitaelekea upande upi wakati kikiachiwa kitembee. Dalili za kuachiwa kwa kimbunga ni pale sehemu ya katikati ya kimbunga inabadilika rangi na kuwa nyekundu kama kunawaka moto.
 
Kimbunga hakiji East Africa na mvua Dar Alhamisi/ijumaa kama siyo jumatano.
 
Mkuu hiki sio kilichosababisha mafuriko makubwa Msumbiji kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…