Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
Kabisa yani langa alifanya balaa Sana humo jinsi ya mdundo ulivyokuwa na mitambao yake ni habari nyingine.Hii beat ya huu wimbo ni ya kibabe sana...
Binafsi naikubali verse ya langa sana
"Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi yani toka nduki toka lesi"
usikubali kubaki kwanini upewe kesi???Hii beat ya huu wimbo ni ya kibabe sana...
Binafsi naikubali verse ya langa sana
"Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi yani toka nduki toka lesi"
wapi shemponda? wapi jenerali komba?/Kabisa yani langa alifanya balaa Sana humo jinsi ya mdundo ulivyokuwa na mitambao yake ni habari nyingine.
LANGA. Daaaahh RIPKatika ngoma Kali za muda wote
Ata video yake huwa naikubal sana
Langa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Marehemu Langa alikuwa noma sana kati ya marapa nawakubali jamaa ni namba mojawapi shemponda? wapi jenerali komba?/
siri kali, serikali cheza mbali na wajomba./
Kama vipi jitose kwenye dimbwi la kinyesi,kimbia.πππusikubali kubaki kwanini upewe kesi???
verse ya Langa inakuja Soon
kuliko Mtoto wa Kiume ya Jiz Mabovu?Hii beat ya huu wimbo ni ya kibabe sana...
Binafsi naikubali verse ya langa sana
"Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi yani toka nduki toka lesi"
Pasi na shaka mkuuKesho tuwekee mistari ya Hili Game ya Kiroboto
πππkuliko Mtoto wa Kiume ya Jiz Mabovu?
Sio suala la uoga, kuogopa ukunguruKama vipi jitose kwenye dimbwi la kinyesi,kimbia.πππ
Jamaa haji tena kutoa ngoma Kali kama hiiBa
Babuu wa kitaa hakika jina lake linaonyesha namna gani anavyojua lifestyle ya mtaa kaelezea vizuri sana bonge moja la ngomaπ₯π₯π₯π₯π₯