Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Shida ni kuwa mnakele sana

Wiki iliyopita Ahmed ally aliongea redion kuwa Target yao siyo Azam confederation cup ambayo inachezwa na timu ndogo kama kina ihefu

Imagine officer mkubwa anaongea hivyo
Leo anasema wanahitaji kusajili 🤣🤣🤣 team ni ile ile miaka mitatu wanaishia hapo hapo,
 
Tatizo tuko na wapiga makelele kuna vitu unapaswa kuvisema na si kusema kishabiki.

Kama mtu wa michezo huwezi andika kitoto hivyo.

No fact. No issue
Facts mbna Nmetoa ......Simba hawajapiga on target hata moja
 
Bado soka la bongo ni tia maji tia maji na tuna mambo mengi ya kufanya transformation sio kwa simba sio yanga wala mtibwa kiufupi soka la bongo kiujumla linahitaji mabadiliko makubwa ili tufike kule qenzetu walipo
Hakikaa mkuuw

But huja specify transformation ipi
 
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo

Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana

Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk 94
Chama alikuwa ni kanoute ( rafu )

Nini kifanyike

Uongozi umuombe Prof. Nabi awapigishe tuition ya kucheza ugenini Kwa waarabu
Kipigo ni kipigo tu

NB: maza kongeza mshiko 10m goalView attachment 2603336
Wew mpira hujuwi.., yaani wew ni wale mliopitiwa ukajikuta na wew nimshabiki, kwa anaye juwa mpira huwezi kuwalaum wachezaji wala kocha., NYAMBAFU
 
Wew mpira hujuwi.., yaani wew ni wale mliopitiwa ukajikuta na wew nimshabiki, kwa anaye juwa mpira huwezi kuwalaum wachezaji wala kocha., NYAMBAFU
Sasa nin kimesababisha ...

Mshindwe kutoboa
 
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo

Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana

Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk 94
Chama alikuwa ni kanoute ( rafu )

Nini kifanyike

Uongozi umuombe Prof. Nabi awapigishe tuition ya kucheza ugenini Kwa waarabu
Kipigo ni kipigo tu

NB: maza kongeza mshiko 10m goalView attachment 2603336
Unaharisha kupitia mdomo
 
Back
Top Bottom