Kim Kardashian

Afande naona kavulia na kofia Ahahahaha!
 
mkuu Salamander na ww ndio umetoka leo kifungoni?

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
duh ila miafande ya US imeshibah?,ingekua bong apo tungeon tambi tu..
 
Afande naona kavulia na kofia Ahahahaha!

No, mi nilifungiwa wiki moja. We vipi? Yule mlugaluga bado kafungiwa na matusi yake. Kajaribu kufungua akaunti nyingine wamezishtukia zote. Afadhali akatafute daiwaika sio kutwa kushinda internet cafe na JF.
 

Viol angalia Nyonga kama nguva(samaki mtu)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…