Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
la sasa hivi ndo nataka....akivua wallah dunia nayo itasimama kuungana na walimwengu nayo ishangae...masaa yatavurugika..[emoji134] [emoji134]Tafuta movie ya Lerato utaona tako la Wema liveeeeeeeeeee.
Una hatari sana weweKuna kitu hakiko sawa japo mie sio muumbaji Ile macho hayaachi kukosoa.
Ningekuwa mwanaume, ningevutiwa na mguu wake na sehemu ya tumbo hadi hapo kushuka chini kwenye V. Pamekaa vizuri na panavutia, manyonyo kwangu naona makubwa japo sio kivile labda kwakuwa mie mwenyewe manyonyo yangu madogo. Ila nyama za tako zinaonesha Kim ameanza kuzeeka au kanenepa maana nyama zimerendemka na kuweka michirizi yaani ngozi ya tako haijanyooka na kukaza kama hiyo ngozi ya mguu.
Halafu mapaja hayana uwiano na tako aidha tako lingepungua kuendana na wembamba wa paja au paja liongezeke kuendana na nyama za tako.
Ila hapo mbele tumbo na V ni excellent.... 100/100.
All in all God is the creator.
Hela mbaya sana inakufanya ufanye mambo ya ajabuehehe mambo ya botched hospital yanaanza kudunda
mi nna skonzi unajua?...
cause they have natural while kim has man made.......Huyu haingii kwa masogange wala Jokate
ani acheni tu ziitwe helaHela mbaya sana inakufanya ufanye mambo ya ajabu
ni zigo remixNaona tako linaanza kushuka...hakafu mbona miguu haina uwiano na zgo??
hhaaahhaa ..babu wee ukimaliza kuchemsha chai usizime jiko...chemsha na hayo maboga ya kina kim kardaahian na wema sepetu..mie skonzi zangu niachie.ngoja nichemshe chai aisee, hehehe
Tumpe B inatoshaKuna kitu hakiko sawa japo mie sio muumbaji Ile macho hayaachi kukosoa.
Ningekuwa mwanaume, ningevutiwa na mguu wake na sehemu ya tumbo hadi hapo kushuka chini kwenye V. Pamekaa vizuri na panavutia, manyonyo kwangu naona makubwa japo sio kivile labda kwakuwa mie mwenyewe manyonyo yangu madogo. Ila nyama za tako zinaonesha Kim ameanza kuzeeka au kanenepa maana nyama zimerendemka na kuweka michirizi yaani ngozi ya tako haijanyooka na kukaza kama hiyo ngozi ya mguu.
Halafu mapaja hayana uwiano na tako aidha tako lingepungua kuendana na wembamba wa paja au paja liongezeke kuendana na nyama za tako.
Ila hapo mbele tumbo na V ni excellent.... 100/100.
All in all God is the creator.
Trakoo!? Una maanisha Tako!?Huyu nae si aliongeza traaako kama nicki minaj
[emoji106]Trakoo!? Una maanisha Tako!?