Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 893
- 1,924
Siku zote Nyumba uliyoijenga kwa Taabu kubwa huwezi kuibomoa kirahisi kisa chakula mwezi mmoja.N.K wanalenga kujitoa ama kuonekana kanakwamba wao ni wakorofi sana wanataka kuuonyesha Ulimwengu kuwa wao ni wa tofauti na habari ambazo zimekuwa zikienezwa na MATAIFA ya Magharibikimkeshfanikiwa kwenye malengo yake kinachofuata ni kuweka tu makubaliano ya namna ya kuishi na hizo silaha.
hakuna mjinga duniani atumie mabilioni afu mwishoni amefanikiwa kabisa eti aangamize silaha hizo never.
Watatakiwa kuharibu matakataka yao yote UNCONDITIONALLY. Subirini mtaoba nani jeuri.Siku zote Nyumba uliyoijenga kwa Taabu kubwa huwezi kuibomoa kirahisi kisa chakula mwezi mmoja.N.K wanalenga kujitoa ama kuonekana kanakwamba wao ni wakorofi sana wanataka kuuonyesha Ulimwengu kuwa wao ni wa tofauti na habari ambazo zimekuwa zikienezwa na MATAIFA ya Magharibi
Kiduku anapitia njia za panya Mkuu. Wenzie through GPS wanamcheki tu.Kiduku Hana kwa kutokea ameshaelekea kibra.... Na soon mtajua America nani hifadhini maneno yangu[emoji40]
Na Iran ataweka nini?Kiduku weka kigogo sukuma twende
Nalog off
GPS!??? Haya bhana.Kiduku anapitia njia za panya Mkuu. Wenzie through GPS wanamcheki tu.
XI ji ndio mwamba wao ila kamseti Kim kawa kalianzisha safii kabla ajakutana ndugu yake WA sk alienda kwa mkuu wake xi ji na pia kabla ajakutana na mawigi alienda kuchukua advise tuko pamoja[emoji106]China anajua NKorea akikubali maßharti ya Trump China itaumia zaidi
Lets spare our words at this stage; time will tell everything brother. Mchina ninavyo muona, ana nguvu ya kupigana na yeyote kwasasa but anaonekana hana mpango wa kupigana na yeyote, kajikita katika kuboresha uchumi wake tu ili may be one day awe super power in the worldkimkeshfanikiwa kwenye malengo yake kinachofuata ni kuweka tu makubaliano ya namna ya kuishi na hizo silaha.
hakuna mjinga duniani atumie mabilioni afu mwishoni amefanikiwa kabisa eti aangamize silaha hizo never.
Utakuja kuolewa na CIA.Source aljazera au CIA? Aljazera anaubavu gani wa kujua mambo ya kiume?