Kim Jong Un Atembelea China Kwa Siri

Kim Jong Un Atembelea China Kwa Siri

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
872
Reaction score
1,893
Kiongozi wa Korea Kaskazini Azuru China.
North Korean Supreme Leader Kim Jong Un amezuru China kwa Siri ambapo Kim amekutana na Raisi wa China Xi Jinping.Viongozi wote wavili wamekutana Kaskazini Mwa China katika Mji wa Dalian.Hata hivyo uwepo wake Nchini China ulitangazwa na Shirika la Xinhua mara baada ya Kim Kuondoka katika Nchi hiyo .Kim alionekana akiwa na Xi katika Beach ya Dalian Hataivyo Shirika Xhihua halikueleza kilichojadiliwa na Viongozi hao.Dalili za Kim Kuwepo Dalian zilikuja pale Ulinzi ulizozidishwa mara dufu huku Huku Private Jet ya N.K kuonekana huko Pengine huu ukawa utangulizi wa Mkutano Kati ya Kiongozi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un na Raisi wa Marekani Donald Trump hii ni Mara ya pili kwa Kim kutembelea China katika kipindi cha Wiki 6 alipotembelea Mji mkuu wa China Being ambapo mkutano huo ulikuwa utangulizi kabla ya kukutana na Moon Jae In Raisi wa Korea Kusini.
Chanzo ALJAZEERA
 
kimkeshfanikiwa kwenye malengo yake kinachofuata ni kuweka tu makubaliano ya namna ya kuishi na hizo silaha.

hakuna mjinga duniani atumie mabilioni afu mwishoni amefanikiwa kabisa eti aangamize silaha hizo never.
Siku zote Nyumba uliyoijenga kwa Taabu kubwa huwezi kuibomoa kirahisi kisa chakula mwezi mmoja.N.K wanalenga kujitoa ama kuonekana kanakwamba wao ni wakorofi sana wanataka kuuonyesha Ulimwengu kuwa wao ni wa tofauti na habari ambazo zimekuwa zikienezwa na MATAIFA ya Magharibi
 
Nina hofu na mazungumzo yanayoandaliwa Kati ya Kim na mawigi huenda yasifanikiwe
 
Kiduku Hana kwa kutokea ameshaelekea kibra.... Na soon mtajua America nani hifadhini maneno yangu
 
Kumbe kukutana na Trump ni balaa kiasi hicho? Ha ha ha! Ukanda wote wa east asia wanaruka na kukanyagana hawajui watamweleza nini jamaa. Noma sana hii.
 
Siku zote Nyumba uliyoijenga kwa Taabu kubwa huwezi kuibomoa kirahisi kisa chakula mwezi mmoja.N.K wanalenga kujitoa ama kuonekana kanakwamba wao ni wakorofi sana wanataka kuuonyesha Ulimwengu kuwa wao ni wa tofauti na habari ambazo zimekuwa zikienezwa na MATAIFA ya Magharibi
Watatakiwa kuharibu matakataka yao yote UNCONDITIONALLY. Subirini mtaoba nani jeuri.
 
Source aljazera au CIA? Aljazera anaubavu gani wa kujua mambo ya kiume?
 
Kidipromasia wako vuzuri wanataka kuonyesha dunia silaha zao ni kwa kujilinda tu. Majadiliano yatakuwa ni kwa ajili ya kuonyesha nani mkolofi na imani watayatumia vizuri, ukizingatia wameona kilicho mtokea Irani Jana. Marekani ni kigeugeu licha ya mkataba wa mataifa yenye nguvu kukubaliana
 
kimkeshfanikiwa kwenye malengo yake kinachofuata ni kuweka tu makubaliano ya namna ya kuishi na hizo silaha.

hakuna mjinga duniani atumie mabilioni afu mwishoni amefanikiwa kabisa eti aangamize silaha hizo never.
Lets spare our words at this stage; time will tell everything brother. Mchina ninavyo muona, ana nguvu ya kupigana na yeyote kwasasa but anaonekana hana mpango wa kupigana na yeyote, kajikita katika kuboresha uchumi wake tu ili may be one day awe super power in the world
 
Back
Top Bottom