Kilosa Yetu tuachien wenyewe CCM Yetu Tunaimudu Hatutaki Dk Slaa Wala Mbowe Mimi Mwenyewe Kama Wao tu Nikiwa Jukwaaan Taarifa Kamil mpaka Sasa CHADEMA imepita bila kupingwa kata 3 Vijiji 8 Asanten Sana Ccm
Ujumbe muhimu ni huu Taarifa Kamil mpaka Sasa CHADEMA imepita bila kupingwa kata 3 Vijiji 8 huko Kilosa hizo zingine ni mbwembwe yaani mnashindwa kuelewa hata vitu vidogo kama hivi?
Isalimieni ccm na kalamage pale magomeni - masugu nasikia anazidi kumaliza watu kupitia policcm sasa sijui anataka kuishi peke yake, bt hayo yote ni matokeo ya ccm ,ccm oyeeeee