immigrant JF-Expert Member Aug 29, 2014 233 128 Feb 20, 2015 #21 Kweli kabisa,ila anza na hapa jf forum kwanza..a lot of them na wanaaminishana sana
Birdman Member Oct 31, 2012 79 24 Feb 20, 2015 #22 lara 1 Loving this. Negative people wanatia stress! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,494 29,211 Feb 20, 2015 #23 Madame B; Ndio maana siku hizi umenitenga eee? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,054 Feb 20, 2015 #24 I call it a spade,watu negative hatuwezi wakwepa mjini humu sana sana ndio maswahiba wetu,akili kichwani ujue unatokaje unaeza ishi na positive mind hata ndani ya nyumba yako lakini kama akili imeganda sahau mafanikio.
I call it a spade,watu negative hatuwezi wakwepa mjini humu sana sana ndio maswahiba wetu,akili kichwani ujue unatokaje unaeza ishi na positive mind hata ndani ya nyumba yako lakini kama akili imeganda sahau mafanikio.
Lady Ra JF-Expert Member Mar 23, 2014 879 990 Feb 20, 2015 Thread starter #27 Madame B Yes my dear,Wengine mkipanga mkutane muongee mnainvest wapi ili mjiongezee kipato hawatokei. Ila ukiwaita kwenye kula Bata watakuja mbio mbio. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Madame B Yes my dear,Wengine mkipanga mkutane muongee mnainvest wapi ili mjiongezee kipato hawatokei. Ila ukiwaita kwenye kula Bata watakuja mbio mbio.
Lady Ra JF-Expert Member Mar 23, 2014 879 990 Feb 20, 2015 Thread starter #28 MankaM Kabisa Dada yangu, wengine ni ndugu zetu so huwezi ukawakwepa totally, but ishi nao kwa akili!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MankaM Kabisa Dada yangu, wengine ni ndugu zetu so huwezi ukawakwepa totally, but ishi nao kwa akili!!
lara 1 JF-Expert Member Jun 10, 2012 15,700 29,130 Feb 20, 2015 #29 MR. CONFIDENT said: Attention seeker in the seeking... Click to expand... IT IS A FREE COUNTRY PAL! Mind your fucking business.
MR. CONFIDENT said: Attention seeker in the seeking... Click to expand... IT IS A FREE COUNTRY PAL! Mind your fucking business.
Lady Ra JF-Expert Member Mar 23, 2014 879 990 Feb 20, 2015 Thread starter #30 lara 1 Nakupendaje shosti!! Yaani unawatumia NEGATIVE PEOPLE for benefit, but for how long u'll entertain them? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
lara 1 Nakupendaje shosti!! Yaani unawatumia NEGATIVE PEOPLE for benefit, but for how long u'll entertain them?
Lady Ra JF-Expert Member Mar 23, 2014 879 990 Feb 20, 2015 Thread starter #31 Nyani Ngabu Ujumbe utafika tu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
J33 JF-Expert Member Jun 11, 2014 1,552 1,505 Feb 20, 2015 #32 Nakuunga mkono asilimia 100 yan ukikaa na watu basic ur likely to be the same