Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 410
- 283
kalime mdugu, acha kulalamikamkuu acha tu nakwambia, hali ni tete kitaa
kama hutaki kujishughurisha, utakaa gizani milele ,nuru ataisikia tu kwenye TVTupo gizani hatujui kama nuru itatuangaza
kalime mdugu, acha kulalamika
Akalime nini? Na wewe mwenzetu umelima nini? Na umefikishwa wapi na hicho kilimo? Acheni maneno ya kukalili fanyeni utafiti kwanza hakuna kilimo chenye faida kisicho hitaji uwekezaj wa pesa.kalime mdugu, acha kulalamika
Nuru ili angaza siku ya kupatwa kwa jua. Kwa sasa tumo nuruni zamani ndo tulikuwa gizaniTupo gizani hatujui kama nuru itatuangaza
Yaani jitu zima badala ya kujiajiri linafikiria kupata ajira serikalini .Ikiwa leo ni siku ya 89 tangu serikali ya rais magufuli isitishe ajira 13.june .2016 na rais kawahidi vijana haitazidi miezi miwili na uhalisia kesho tunamaliza miezi mitatu toka zuio la ajira lilipotolewa imezua sintofahamu ya nini hatima ya vijana hawa ambao wamekaa zaidi ya mwaka mmoja bila ajira na wamepewa kauli zitatoka mapema wawe na subira.JE NI KIPI KIPIMO CHA MAPEMA?.sasa tunaomba wahusika wawe wazi mwezi wa kutoa ajira na si kutoa kauli tata kama mapema ambayo kila mtu hufasiri anavyoelewa.natumaini ujumbe umefika
Mzee mwenzangu ulipigwa kale kakitu na mods nin!? Maana long time sijakuona13-9-2016
TUNATEGEMEA jibu.
swissme