mugere
Member
- Oct 12, 2010
- 18
- 2
Nimepitia sera ya Kilimo hapa nchini. Ni sera nzuri na sera nzuri kuliko sera zote.Kilimo ukifundishwa darasani ni kizuri.Lakini practically ni kazi ngumu. Kinataka tija na ujuzi pia mtaji kwa kilimo cha kimapinduzi.
Bila shaka kwa hesabu za kawaida ndio prime source ya kuangalia wakati unatafuta jinsi ya kupata mapato ya nchi.Wakulima pekee ni wengi kwa kumaanisha tofauti ya wakulima wadandiaji na wa wakulima halisi. Hawa wakulima halisi wanakipato hafifu,bila shaka niseme duni.Wanategemea jembe la mkono! kwa survey ya haraka wengi wao per annum hawazidi cash ya Tsh.50,000/=majority kama baki baada ya chakula.Msiwahesabie chakula!Kundi hili linaishi tu kwa bahati nasibu.Nafikiria jinsi gani wanaweza kugharimia gharama za elimu bora(sio elimu ya jumla),Afya bora n.k
Kundi la pili la hawa wakulima wadandiaji ni wale wenye kipato zaidi ya kimoja .Hawa ni wale wachuuzi na wafanyakazi! Namkubuka Mwalimu Nyerere alivyotenga makundi mawili haya !Kumbe huyu mzee aliona mbali!
Mfanyakazi tu wa kisomo cha chini mapato yake ni almost Tsh.1000,000/= kwa mwaka;ongeza pia mapato mengine ya udandiaji labda anaweza kuwa na M.2!
Ebu linganisha na huyu mkulima peke(Mkulima tuu) kwa kilugha cha kwetu "Kalyampeke" Linganisha munzani sasa ! Kuna wiano?
Tuende sasa kwenye jinsi ya kugawana matunda ya uhuru! hali ikoje sasa?
Na hawa "wakulima tuu" NDIO wanachangia kulipa mishahara ya watumishi!
Nafikiri tatizo sio mishahara ya watumishi.Labda sasa ni jinsi gani tunabeba load ipi ya watumishi? je wote hao wanahitajika? hakuna replication ya Mjukumu? Niliangalia Directory sa watumishi wa Umma! Watumishi ni wengi sana! It a big load! Nafasi nyingi zinafanana! kwa majukumu.Nafasi moja imezalishwa! Mf.Elimu bado kuna nafasi kama afisa elimu Watu wazima nchi nzima! Ni mishahara mingapi inalipwa? Sio hiyo tu ni idara zote! Kazi ya mtumishi mmoja inafanywa na watumishi watatu au wanne!
Kwa kuleta check and balance pia retirement age! Ina maana gani ya miaka 55 na 60? Why not 40 na 45 years!
Tubebe mzigo tunoweza!Ubunifu wa Model ya Serikali na utawala inayotoa wiano sawa!
Swala la vyama vya Ushirika na wawekezaji lifanyiwe mkakati.Pana prove failure pafenyiwe marekebisho!
Itungwe sheria ya maendeleo ya Kilimo user friendly law; najua tunaenda kwa sera! za kilimo,ushirika n.k!
Uwekezaji uwe na balance;kipaumbele kiwe agriculture processing;sio vitenge!
Elimu ya Kilimo ni compulsory kama ilivyokuwa zamani! Watoto wapende kilimo tangia wakiwa wadogo! Where is Agricultural Science! Mashamba ya Elimu ya kujitegemea yako wapi mashuleni?
Ni machache tu; siku nyingine!