Mkuu kama kweli tukiamua kufanya kilimo cha umwagiliaji bongo tuachane na mvua nadhani tutalisha dunia nzima,
Kuna sehemu ukienda kila baada ya KM kadhaa unakutana na mto na wenyeji wanakwambia mto huo upo throughout the year,
We are not serious thats all, wananchi hawapo serious viongozi hawapo serious,
Kila mtu anamwangalia mwenzake alete mabadiliko na yule anamwangalia anayemwangalia,
Ni aibu kubwa na fedheha nchi kupata shida ya chakula wakati tuna vyanzo vya maji vya kutosha na ardhi yenye rutuba kubwa,
We need to change guys, tunahitaji mabadiliko makubwa ya kifikra na utendaji,
Kila mmoja wetu anapaswa kufahamu mabadiliko yataletwa na juhudi zake
Kila mmoja wetu anatakiwa kufikiri positive
Kila mmoja wetu atimize wajibu wake ipasavyo
Na kama tutafanya hivyo tutatengeneza vizazi mashuhuri hata kama hatupo.