ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Unalima wapi ? Ni PM kama uko DarNina shamba , nimeshaanza kidogo kulima pilipili mbuzi . pilipili mbuzi ni deal sana mwezi wa sita hadi mwezi wa kumi zina pesa balaaa.
Njoo tufanye joint venture.
Duh hapo unamaanisha pilipili aina zote au specifically ulizolima wewe?? Umelima aina gani ya pilipili?Pilipili ni zao ambalo soko lake halitabiriki mwaka juzi ilipanda sana hadi 40000 kwa ndoo kubwa mwaka jana hadi sasa bado ndoo ni chini ya 10000 nimelima imenitesa sana kuuza walao mboga hasa mchicha na chinese zinalipa na zina soko
Ndio nalimia DarUnalima wapi ? Ni PM kama uko Dar
Pilipili mbuzi bado ni dili mkuu. Ukiweza kumaintain production miezi hiyo ya June mpaka October unapiga pesa nyingi mkuuPilipili ni zao ambalo soko lake halitabiriki mwaka juzi ilipanda sana hadi 40000 kwa ndoo kubwa mwaka jana hadi sasa bado ndoo ni chini ya 10000 nimelima imenitesa sana kuuza walao mboga hasa mchicha na chinese zinalipa na zina soko
Asante kwa hii taarifa ya masoko.. Je unaongelea pilipili ipi sasa?? Zipo aina tofauti za pilipiliBei ipo chini zaidi , ni pungufu ya 6000 kwa ndoo kubwa.
Lakini kwakuwa sio zao la msimu , ukiweza kumwagilzia unaendelea kuvuna
vipi pilipili kichaa??Mbuzi bei kwa mwaka jana wote hovyo tu hazitabiriki
Mimi naongelea pilipili mbuzi. Ukiwanazo nyingi hata zikikosa soko waweza kuuza mbegu zake ambazo nazo zina soko tena zuri mnoAsante kwa hii taarifa ya masoko.. Je unaongelea pilipili ipi sasa?? Zipo aina tofauti za pilipili
Sio kweliMbuzi bei kwa mwaka jana wote hovyo tu hazitabiriki
Sina utaalamu wa soko la pilipili mbuzi mkuuvipi pilipili kichaa??
Kwa soko la wapi,mfano kuna shamba lipo kigamboni jamaa alikuwa anauza ndoo shs 40000 mwez wa 11Mbuzi bei kwa mwaka jana wote hovyo tu hazitabiriki
Kufikia level ya soko la India nafikiri ni kwa large scale farming na sio hivi vilimo vyetu vya hekari 1 na 2Pilipili zenye soko ni zile ndefu,
utauza hata india