Tumia Dawa yenye kiuatilifu cha Abamectin mfano DynamecWakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa
Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi gani
Picha
![]()
![]()
Ahsanteni.
na hii ni nini mkuu,,msaada tafadhali, nimeona kwenye baadhi ya miche ambayo iko pembezoni, miche ina wiki 4 ssNice comment zimeshawekwa teyari, ni leaf miner akiwa kwenye lava stage, dawa yeyote yenye abamectin au emamectin inamuondoa mfano dynamec, biotrine, balton abamectin, abamectin.
Angalizo hiki kiuatilifu kina asili ya spirit na kikipigwa na miale ya jua kinabadilika kua gas na kupotelea hewani, piga muda ambao hakuna jua yaani mchana so piga jioni au asubuh.