Adimu JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 678 Reaction score 308 May 18, 2016 #1 Nataka nilime mboga mboga nnje kidogo ya jiji la Dar es salaam kisha soko liwe maeneo ya Dar, kwa wazoefu naomba ushauli na maelezo juu ya kilimo hiki cha mboga kama mchicha, chainizi, na majani ya kunde
Nataka nilime mboga mboga nnje kidogo ya jiji la Dar es salaam kisha soko liwe maeneo ya Dar, kwa wazoefu naomba ushauli na maelezo juu ya kilimo hiki cha mboga kama mchicha, chainizi, na majani ya kunde