mwandorobo
Member
- Jul 7, 2018
- 86
- 141
Hapana usiweke neno "never again" sometimes kilimo hiki tunalima ni bahati japo inatesa unaposikia kuna mtu huko kapiga mshindo wakat wew unaliaNiliwahi kushawishiwa na rafiki yangu nikanunua shamba ekari 5 nikazilima zote nikapanda haya madude wewewewe!!!! Shughuli ilianzia kwenye kuota ilikuwa mche mmoja ukiota bunju mwingine unaota kitunda mwingine vigwaza unaofuata kibaha kwa mfipa nikaona hiki kilimo na mimi never again
Sasa bwana mwaka jana nikamkodisha doctor mmoja rafiki yangu akalima zile ekari zote amevuna zaidi ya 30million.
Hata sijui shetani ananiambia nini kuhusu mwak
Nilifanikiwa shambani nikafeli sokoniHabari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi uchawi unahusika[emoji1]). Ikafika hatua mtaji wote Ukakata na Imebidi nirudi tena mjin kujipanga upya. Inakatisha tamaa kimsingi lakini niliapa lazima nijipange upya na nirudi tena shamba nikaikomboe[emoji1] pesa yangu niliyoizika huko. tafadhali usisite kushare uzoefu wako, mafanikio au ulifeli wapi?
Unafaa kutufundisha beginnersKwenye tikiti nimefeli mara4 tofauti hazina ubabe zikiamua kukufelisha uwe na uzoefu namna gani
Picha linaanza nilipanda heka 3 zote sikuya2 yake mvua hiyo kubwa zilikuja kuota mashina si zaidi ya 230 kwa heka zote 3 muda huo hela mbegu sina tena! nikauchuna.
Mstaafu mmoja akanitafuta akasema tulime na atumie uzoefu wangu yeye atatoa kila kitu then kwenye mavuno tutaondoa ghlama zake zote kisha baki ama faida tugawane nikasema tawilee. ziliota vzr palizi ya kwanza fresh zikaanza maua aisee sikujua ugonjwa gani uliingia yaani shina linakuwa na njano baada ya siku3 linakauka shamba lote heka5 tukapata laki 195000 kama mauzo msataafu akaniachia mimi.
Nikamshawishi tena twende mahali kwingine tukakodi heka5 zile zile aisee hizi tulipiga hela kama vichaa
awamu nyingine nikalima nikakutana mafuriko sokoni usiombee yaani tikit kubwa kabisa unauza buku jero na wateja hakuna wiki2 fuso limemwaga tikit kidogo nizitelekeze nikajipa moyo nikapatamo laki8 na ushee.
Uzi unasema zilivyo kufelisha mkuuUnafaa kutufundisha beginners
Bon voyageUzi unasema zilivyo kufelisha mkuu
Kwenye tikiti nimefeli mara4 tofauti hazina ubabe zikiamua kukufelisha uwe na uzoefu namna gani
Picha linaanza nilipanda heka 3 zote sikuya2 yake mvua hiyo kubwa zilikuja kuota mashina si zaidi ya 230 kwa heka zote 3 muda huo hela mbegu sina tena! nikauchuna.
Mstaafu mmoja akanitafuta akasema tulime na atumie uzoefu wangu yeye atatoa kila kitu then kwenye mavuno tutaondoa ghlama zake zote kisha baki ama faida tugawane nikasema tawilee. ziliota vzr palizi ya kwanza fresh zikaanza maua aisee sikujua ugonjwa gani uliingia yaani shina linakuwa na njano baada ya siku3 linakauka shamba lote heka5 tukapata laki 195000 kama mauzo msataafu akaniachia mimi.
Nikamshawishi tena twende mahali kwingine tukakodi heka5 zile zile aisee hizi tulipiga hela kama vichaa
awamu nyingine nikalima nikakutana mafuriko sokoni usiombee yaani tikit kubwa kabisa unauza buku jero na wateja hakuna wiki2 fuso limemwaga tikit kidogo nizitelekeze
hatariTikiti kama tikiti
Ni kweli kabisa ni kama kubahatishaKuna watu waliingia mkenge sana kwenye ishu ya matikiti,,,,,
Kila mtu ana angle yake ya kufanikiwa ama kutoboa,,,sijawahi kufanya kilimo cha biashara never !!! Unaweza fanikiwa ama ukazika mtaji wote
Hujajibu swali mbegu gani inafaa kwenye udongo ganiWakubwa ushauri wangu ni huu
Tafuta mbolea ya kuku ndo nzuri kwa upandaji wa tikiti . Ukishaweka kwenye mashimo yko imwagilie maji kwa muda wa siku 4 ili ipoe vizuri usipofanya hivi mbegu zako zitaungua na mbolea mna mbolea ya kuku ni kali
Kabla ya kununua mbegu angalia ardhi ipi unoenda kulimia kma ni ya mawe au udongo au kichanga mna hizi mbegu zimetofautiana ivo kulingana na ardhi sio kila mbegu inakubali kwenye ardhi yeyote ile
Ukishanunua mbegu ziroweke mbegu zako kwenye chombo chenye maji lengo la kufanya hivi ni kuibobesha mbegu yko ili ukienda kuifukia shambani iweze kupasuka haraka na kutoa mche
Nahisi wakubwa zangu mumenielewa
Kwani nani kaniuliza swali ilo?Hujajibu swali mbegu gani inafaa kwenye udongo gani
Mkuu hii dunia mtihani.Wengine wakifanya kitu wanafanikiwa wengine hawafanikowi.Niliwahi kushawishiwa na rafiki yangu nikanunua shamba ekari 5 nikazilima zote nikapanda haya madude wewewewe!!!! Shughuli ilianzia kwenye kuota ilikuwa mche mmoja ukiota bunju mwingine unaota kitunda mwingine vigwaza unaofuata kibaha kwa mfipa nikaona hiki kilimo na mimi never again
Sasa bwana mwaka jana nikamkodisha doctor mmoja rafiki yangu akalima zile ekari zote amevuna zaidi ya 30million.
Hata sijui shetani ananiambia nini kuhusu mwaka huu??
Usiongie tamaa kumnyanga'nya bora upate hela za kukodi. Haya mambo ni magumu.Niliwahi kushawishiwa na rafiki yangu nikanunua shamba ekari 5 nikazilima zote nikapanda haya madude wewewewe!!!! Shughuli ilianzia kwenye kuota ilikuwa mche mmoja ukiota bunju mwingine unaota kitunda mwingine vigwaza unaofuata kibaha kwa mfipa nikaona hiki kilimo na mimi never again
Sasa bwana mwaka jana nikamkodisha doctor mmoja rafiki yangu akalima zile ekari zote amevuna zaidi ya 30million.
Hata sijui shetani ananiambia nini kuhusu mwaka huu??
Ila mpaka leo tangu hiki kilimo kiinhie bado kuna watu wanalima.Kuna watu waliingia mkenge sana kwenye ishu ya matikiti,,,,,
Kila mtu ana angle yake ya kufanikiwa ama kutoboa,,,sijawahi kufanya kilimo cha biashara never !!! Unaweza fanikiwa ama ukazika mtaji wote
pole, ndo kilimo, cha muhimu angalia ulifeli wapi ili uweze kuamka tena kutoka hapoHabari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi uchawi unahusika😄). Ikafika hatua mtaji wote Ukakata na Imebidi nirudi tena mjin kujipanga upya. Inakatisha tamaa kimsingi lakini niliapa lazima nijipange upya na nirudi tena shamba nikaikomboe😄 pesa yangu niliyoizika huko. tafadhali usisite kushare uzoefu wako, mafanikio au ulifeli wapi?