1.Mkuu uko mkoa gani?
2. Unahitaji kulima kiungo gani?
3. Soko liko wapi?
4. Unataka kulima ukubwa gani?
Haya ni maswali muhimu kabla hujaanza kulima.
Nashauri uende zanzibar kuna mashamba ya viungo unaweza kutembelea kujifunza na kupata miche pamoja na mbegu