Habari wadau,
Nina eneo langu maeneo ya Kisarawe ninahitaji kupandikiza miche ya Korosho.
Ardhi yangu ina asili ya tope kipindi cha mvua inatereza sana na wakati wa ukame inakua kama imeganda.
Je Korosho inafaa kwa ardhi?? Kama Korosho haifai zao gani la muda mrefu linamudu hii ardhi?
Asante