Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Apr 11, 2017 #141 Ni aina gani ya embe unaweza kuvuna kipindi ambacho sio cha msimu?
usele george t New Member Joined Jun 17, 2017 Posts 4 Reaction score 1 Jul 8, 2017 #142 Ndugu zangu nauliza je ni aina gani za maembe zinazaa sana na ni nzuri kwa hii biashara ya kilimo cha maembe?
Ndugu zangu nauliza je ni aina gani za maembe zinazaa sana na ni nzuri kwa hii biashara ya kilimo cha maembe?
M masare JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,173 Reaction score 2,032 Jul 8, 2017 #143 usele george t said: Ndugu zangu nauliza je ni aina gani za maembe zinazaa sana na ni nzuri kwa hii biashara ya kilimo cha maembe? Click to expand... Embe maji
usele george t said: Ndugu zangu nauliza je ni aina gani za maembe zinazaa sana na ni nzuri kwa hii biashara ya kilimo cha maembe? Click to expand... Embe maji
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jul 8, 2017 #144 Nayapenda Maembe Dodo Matamu Kunyonya Na Kuyabinya Binya
usele george t New Member Joined Jun 17, 2017 Posts 4 Reaction score 1 Jul 8, 2017 #145 masare said: Embe maji Click to expand... Masare unauhakika kweli maana nataka nianze hii biashara anayejua zaidi anijuze
masare said: Embe maji Click to expand... Masare unauhakika kweli maana nataka nianze hii biashara anayejua zaidi anijuze
1411 Member Joined Aug 16, 2015 Posts 95 Reaction score 40 Aug 15, 2017 #146 Inamonga said: Ni aina gani ya embe unaweza kuvuna kipindi ambacho sio cha msimu? Click to expand... Wakuu Salaam. Naomba kujua bei ya ekari moja huko Kibiti kwa mlio na taarifa sahihi Pia naomba kujua katika ekari moja naweza kupanda miche mingapi ikazaa vizuri Naomba kujua namna ya kuzalisha maembe kabla ya msimu
Inamonga said: Ni aina gani ya embe unaweza kuvuna kipindi ambacho sio cha msimu? Click to expand... Wakuu Salaam. Naomba kujua bei ya ekari moja huko Kibiti kwa mlio na taarifa sahihi Pia naomba kujua katika ekari moja naweza kupanda miche mingapi ikazaa vizuri Naomba kujua namna ya kuzalisha maembe kabla ya msimu