Kilimo cha Greenhouse

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
526
Reaction score
677
Habari za Leo wanabodi? Ninaamini JF ni kisima cha utaalam. Ninaomba kueleweshwa namna ya kuanzisha kilimo cha greenhouse. Pia gharama zake, upatikanaji wa vifaa na pembejeo kwa hapa Tanzania hususan Mwanza. Ninataka kuanzisha shughuli hii lakini siifahamu kwa undani. Nitashukuru kwa mchango wenu.
 
hili swala ulifanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…