CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 May 18, 2020 #1 Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA, Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana. Kwa Tanzania haya matunda huwa yanaingia kutoka nje, na yanauzwa bei nzuri sana. Watu watasema Soko liko wapi. Tanzania kwa sasa ina muingiliano wa watu wengi sana, Nchi isha kuwa Kijiji, Kuna Foreigner wengi sana na wote hao ni kutoka mbele huko. Hawa ni soko tosha kabisa huhitaji kwenda kuuzia washwahili kama mimi. Na Upandaji wake ni rahisi kwa sababu unakata shina unaotesha. Ukiwa na Shamba Idle otesha matunda kama haya. Sent using Jamii Forums mobile app
Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA, Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana. Kwa Tanzania haya matunda huwa yanaingia kutoka nje, na yanauzwa bei nzuri sana. Watu watasema Soko liko wapi. Tanzania kwa sasa ina muingiliano wa watu wengi sana, Nchi isha kuwa Kijiji, Kuna Foreigner wengi sana na wote hao ni kutoka mbele huko. Hawa ni soko tosha kabisa huhitaji kwenda kuuzia washwahili kama mimi. Na Upandaji wake ni rahisi kwa sababu unakata shina unaotesha. Ukiwa na Shamba Idle otesha matunda kama haya. Sent using Jamii Forums mobile app
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,744 May 18, 2020 #2 Safi sana mkuu. Hii kitu nimekula china. Wanalima kwenye green house. Ni wazo zuri sana mkuu
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,505 Reaction score 1,102 May 19, 2020 #3 Tuanze na vitamins zinazopatikana na hilo tunda. Msaada please. Sent using Jamii Forums mobile app
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 May 19, 2020 #4 Furahisha mkun.. Ndio jinale 😁😁
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 May 20, 2020 #5 jogi said: Furahisha mkun.. Ndio jinale Click to expand... Hapana mkuu ni tofauti kabisa Furahisha ni madogo ila Haya ni makubwa ndani ukilipasua ni jeupe sana na mbegu ndogondogo sana Nimekula siku moja tu na sikupenda kabisa Ila wachina wanakula sana maana nilinunua kwenye duka Lao Sent from my iPhone using Tapatalk
jogi said: Furahisha mkun.. Ndio jinale Click to expand... Hapana mkuu ni tofauti kabisa Furahisha ni madogo ila Haya ni makubwa ndani ukilipasua ni jeupe sana na mbegu ndogondogo sana Nimekula siku moja tu na sikupenda kabisa Ila wachina wanakula sana maana nilinunua kwenye duka Lao Sent from my iPhone using Tapatalk
T Thobias Maputo Member Joined Feb 10, 2020 Posts 22 Reaction score 32 May 20, 2020 #6 Mbegu zinapatikana wapi?
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,702 Reaction score 35,757 May 20, 2020 #7 Haya matunda ndo Yale yale yanapatikana kwenye miiba ya seng'enge , sema hii ni seng'enge ya kisasa au ya kizungu
Haya matunda ndo Yale yale yanapatikana kwenye miiba ya seng'enge , sema hii ni seng'enge ya kisasa au ya kizungu
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 May 20, 2020 Thread starter #8 Hayapo Africa mkuy Slowly said: Haya matunda ndo Yale yale yanapatikana kwenye miiba ya seng'enge , sema hii ni seng'enge ya kisasa au ya kizungu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hayapo Africa mkuy Slowly said: Haya matunda ndo Yale yale yanapatikana kwenye miiba ya seng'enge , sema hii ni seng'enge ya kisasa au ya kizungu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 May 20, 2020 Thread starter #9 Cutting unaweza pata Thobias Maputo said: MBegu zinapatikana wapi? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Cutting unaweza pata Thobias Maputo said: MBegu zinapatikana wapi? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Oct 15, 2023 #10 Thobias Maputo said: Mbegu zinapatikana wapi? Click to expand... Ukipata unijulishe na mimi mkuu!